UTABIRI UNAOHUSU GHAYBAH YA IMAM MAHDI (A.T.F.S)

UTABIRI UNAOHUSU GHAYBAH YA IMAM MAHDI (A.T.F.S)
Author :
Interpreter :
Publisher :
Publication year :
2001
Number of volumes :
1
Publish number :
Toleo la kwanza
Publish location :
Dar es Salaam
(0 Kura)

(0 Kura)
UTABIRI UNAOHUSU GHAYBAH YA IMAM MAHDI (A.T.F.S)
Hiki kijitabu kina baadhi ya Utabiri unaohusu Ghaybah (kutoonekana) ya Imam al-Mahdi (a.s.). Kinaonyesha kuwa imani hii ilikuwepomiongoni mwa Mashia na hata baadhi ya Masunni tangu zama za Amir al-Muminin, ‘Ali (a.s.). Mashairi kuhusu imani hii yalitungwa na kusomwa mbele ya Imam as-Sadiq (a.s.). Pia huonyesha kwenye baadhi ya maendeleo ya kihistoria ambayo yanathibitisha tena kuwepo tabiri hizo na atharizake. Wapokeaji hadithi wakubwa watatu wasio Mashia waliandika vitabu kuhusu Ghaybahya Imam Mahdi muda mrefu kabla ya kuzaliwa kwake katika mwaka wa 255 A.H. Walithibitisha bila shaka(yoyote) ukweli wa Ghaybat na kudhihiri tena kwa Sahibu ’l-‘Asr — Bwana wa Zama (hizi). Allah aharakishe kutokeza kwake