Imam wa Zama, Hazrat Mahdi (a.s.)

Imam wa Zama, Hazrat Mahdi (a.s.)

Imam wa Zama, Hazrat Mahdi (a.s.)

Publish number :

Toleo la kwanza

Publication year :

1991

Publish location :

Tanzania Dar es salaam

Number of volumes :

1

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Imam wa Zama, Hazrat Mahdi (a.s.)

Kitabu hiki kinatoa ufafanuzi wa hadithi maarufu ya Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.) ambaye amesema, “Yeyote atakayekufa pasi kumtambua Imamu wake atakufa mauti ya mpagani.” Kila Mwislamu mwenye kuamini kauli ya Bwana Mtume (s.a.w.w.) hana budi kufanya kila juhudi ya kumtambua Imamu wake wa wakati huu maana dunia hii haiwezi kubaki hata sekunde moja bila ya Hujjah ya Mwenyezi Mungu (s.w.t.) kuwapo.Ama kwa hakika, kuwa na imani katika Imamu ni mzizi mmojawapo wa bDini, maana kazi ya kuiongoza na kuihifadhi dini ni wajibu wa Imamu baada ya kuondoka duniani Bwana Mtume (s.a.w.w.).